Kiswahili Paper 1 Question Paper
KCSE CLUSTER TESTS 27
Kiswahili Paper 1
1.
Wewe kama katibu wa jopo maalumu lililoteuliwa na Waziri wa Uchumi, andika kumbukumbu za mkutano uliojadili jinsi ya kuimarisha nchi kiuchumi.
20 marks
2.
Teknolojia ni kama sarafu ya pande mbili.Jadili
20 marks
3.
Mtaka cha mvunguni sharti ainame
20 marks
4.
“Niliamshwa na sauti ya dirisha likifunguliwa polepole. Nje kulivaa weusi wa kutisha.............â€Endeleza.
20 marks