Kiswahili Paper 1 Question Paper
KCSE CLUSTER TESTS 26
Kiswahili Paper 1
Andika insha mbili
1.
Lazima
Umechaguliwa kuwa katibu wa kamati inayotoa mapendekezo ya jinsi ya kupambana na tatizo sugu la ukabila nchini. Andika ripoti yako
20 marks
2.
Chagua insha moja kutoka hizI tatu zilizobakia
2. Taa haachi mwibawe
3. Teknohama imeleta hasara nyingi kuliko faida. Jadili
4. Andika insha itakayokamilika kwa maneno haya:
Mshitakiwa alimwangalia hakimu kwa macho ya huruma kisha akamwangalia mkewe na wanawe akatamani kuwaomba msamaha lakini hukumu ilikuwa imetolewa.
20 marks