Kiswahili Paper 1 Question Paper
KCSE CLUSTER TESTS 25
Kiswahili Paper 1
Jibu maswali mawili.
1.
Lazima
Kumekuwa na visa vya ukosefu wa usalama nchini. Baadhi ya washika dau wametumia njia mbalimbali kukabiliana na visa hivi. Wewe kama ripota wa gazeti la ‘Fahamisha’ andika taarifa kuhusu swala hili.
20 marks
2.
Chagua swali moja
2. Uhuru unaopewa vijana leo katika nchi yetu una madhara zaidi kuliko faida. Jadili.
3. Mwenye kovu usidhani kapoa
4. Anza kwa : Nilisimama kama ilivyotuamuru sauti nzito ya kutisha, huku nikijuta na kujawa mawazo tele kwa kuhamia nchi nisiyoifahamu………………………………………………
20 marks