Kiswahili Paper 1 Question Paper
KCSE CLUSTER TESTS 24
Kiswahili Paper 1
1.
LAZIMA
Umealikwa katika kongamano la Kiswahili wilayani.
Andika hotuba utakayotoa kuhusu tatizo la uzungumzaji wa lugha ya Kiswahili isiyo sanifu miongoni mwa wanafunzi wa shule za upili wilayani.
20 marks
2.
Andika insha inayobainisha maana ya methali:
Mfa maji haishi kutapatapa
20 marks
3.
Andika insha kuhusu nafasi ya vyombo vya habari katika kuhimiza amani nchini.
20 marks
4.
Tunga kisa kinachoanza kwa maneno yafuatayo.
‘Buum!’Mlipuko huo ulitapakaza vifusi kote. Wingu jeusi la moshi likatanda…
20 marks