Kiswahili Paper 1 Question Paper
KCSE CLUSTER TESTS 20
Kiswahili Paper 1
1.
Wewe ni katibu wa tume iliyoteuliwa na mkuu wa Elimu nchini kuchunguza kiini cha visa vya udanganyifu katika mitihani ya kitaifa na kuwasilisha ripoti hiyo baada ya miezi miwili. Andika ripoti utakayowasilisha kwa mkuu huyo.
20 marks
2.
Elimu ya bure nchini Kenya ina matatizo mengi kuliko faida. Jadili.
20 marks
3.
Chui akienda mawindoni huficha makucha yake.
20 marks
4.
Anza insha kwa; Ungeniona ungedhani sheria haizingatii haki za binadamu nchini mwetu…..
20 marks