Kiswahili Paper 1 Question Paper
KCSE CLUSTER TESTS 19
Kiswahili Paper 1
1.
Ukiwa gavana wa Kaunti mojawapo hapa nchini, umeandaa kikao na mbunge na afisa mkuu wa masuala ya kiusalama jimboni ili kujadili mikakati ya kupambana na visa vya ukosefu wa usalama. Andaa mazungumzo yenu.
20 marks
2.
Vyombo vya habari vina faida na hasara. Jadili.
20 marks
3.
Siku ya nyani kufa miti yote huteleza.
20 marks
4.
Kila muumini alikuwa amechukua pahali pake. Kanisa lilikuwa limejaa furi. Shauku ya kumwona Bi Arusi ilikuwa imewavaa. Mara sauti ya king’ora cha kuashiria hatari ikasikika nje........ Endeleza.
20 marks