Kiswahili Paper 1 Question Paper
KCSE CLUSTER TESTS 15
Kiswahili Paper 1
1.
Andika barua kwa mhariri ukipendekeza njia za kuimarisha viwango vya elimu katika kaunti yenu.
20 marks
2.
Ungekuwa Rais wa Kenya, fafanua njia utakazotumia kustawisha uchumi uliosambaratika.
20 marks
3.
Badiliko kwa mjukuu huanza na babu.
20 marks
4.
Andika insha itakayoanza kwa maneno yafuatayo.
Maneno yake yaliupenya moyo wangu na kuukata kama mshale. Wingu kubwa la huzuni lilinigubika ghafla. Niliangua kilio. (Endeleza).
20 marks