Kiswahili Paper 1 Question Paper
KCSE CLUSTER TEST 14
Kiswahili Paper 1
1.
Lazima
Umekuwa katika kamati inayochunguza sababu ya vijana kujiunga na kushiriki katika vitendo vya kihalifu. Andaa ripoti ya uchunguzi wenu.
20 marks
2.
Ongezeko kubwa la idadi ya watu nchini Kenya ni kikwazo kikuu katika maendeleo. Jadili
20 marks
3.
Mwota moto hana mali, mali ni ya mwota jua.
20 marks
4.
Tulikuwa wengi nje ya chumba cha kufanyia upasuaji wagonjwa mahututi – marafiki, jamaa na watu mashuhuri. Tulisemezana kwa sauti ya chini. Ghafla, mlango wa chumba ukafunguliwa...... Endeleza.
20 marks