Search
Free School Management System
Free School Management System for Kenya

Free School Management System

Learn More

2016 KASSU JET JOINT EXAMINATION

Kiswahili Paper 1

1.

Insha ya lazima
Shirika la Utangazaji la Jicho Pevu limetangaza nafasi ya kazi ya mhariri mkuu wa kitengo
cha habari za Kiswahili .Umealikwa kushiriki mahojiano. Andika tawasifu utakayowasilisha
kwa jopo tathmini.

20 marks

2.

Fafanua changamoto zinazokumba muumano na mshikamano wa kitaifa.

20 marks

3.

Kuinamako ndiko kuinukako.

20 marks

4.

Andika insha itakayokamilikia maneno haya: Alipofika hapo alielewa fika kwamba ingebidi
aukate mkono uliokuwa ukimlisha tangu hapo, mradi hakukubaliana naye katika njama hiyo.

20 marks

Back Top