Search
Free School Management System
Free School Management System for Kenya

Free School Management System

Learn More

2015 KCSE Murang'a South Mock

Kiswahili Paper 1

1.

Lazima.
Andika barua kwa mhariri wa gazeti la Tomoko Leo ukitoa maoni kuhusu sekta ya usafiri wa pikipiki.

20 marks

2.

Mwiba wa kujichoma hauambiwi pole.

20 marks

3.

Viongozi walioko wapaswa watimuliwe mamlakani na wachaguliwe wengine. Jadili.

20 marks

4.

Andika kisa kitakachomalizika kwa maneno haya;
... Nilikula yamini kamwe sitawahi kujihusisha na mzaha tena.

20 marks

Back Top