Search
Free School Management System
Free School Management System for Kenya

Free School Management System

Learn More

2015 KCSE Kajiado County Joint Examination

Kiswahili Paper 1

1.

Ukiwa mhariri wa gazeti la Mulika andika tahariri kuhusu uharibifu wa mito nchini na upendekeze suluhu kwa tatizo hilo

20 marks

2.

Ugatuzi una faida nyingi kuliko hasara. Jadili

20 marks

3.

Andika kisa kitakachodhihirisha maana ya methali: Ajizi ni nyumba ya njaa.

20 marks

4.

Tunga kisa kinachomalizia maneno yafuatayo…….Nilijitolea kafara na msaada wangu ukazaa natija kwa wengi.

20 marks

Back Top