Search
Free School Management System
Free School Management System for Kenya

Free School Management System

Learn More

2015 KCSE Gem Sub-County Joint Evaluation

Kiswahili Paper 1

1.

Unataka kuwania Ugavana. Andika tawasifu watakayoisoma wapigakura ili wavutiwe kukuchagua.

20 marks

2.

Tatizo la usalama nchini Kenya ni janga la kujitakia Jadili.

20 marks

3.

Uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti.

20 marks

4.

Andika kisa kitakachoishia maneno haya : ...nilitambua kwamba si vizuri kumtegemea mtu mmoja kwa hali na mali.

20 marks

Back Top