Search
Free School Management System
Free School Management System for Kenya

Free School Management System

Learn More

2015 KCSE Cross Country Mock

Kiswahili Paper 1

Jibu jumla ya maswali mawili. Swali la kwanza ni la lazima.
1.

SWALI LA LAZIMA. Visa vya dhuluma dhidi ya mtoto wa kike vimeongezeka sana nchini.Andika taarifa ya hali hii nchini.

20 marks

2.

Uhifadhi wa mazingira una manufaa mengi kwa binadamu .Thibitisha.

20 marks

3.

Kutangulia si kufika.

20 marks

4.

Malizia kwa………tulifukumana huku nyuso zetu zikiwa na tabasamu la matumaini.

20 marks

Back Top