Search
Free School Management System
Free School Management System for Kenya

Free School Management System

Learn More

KCSE CLUSTER TESTS 26

Kiswahili Paper 2

1. UFAHAMU (Alama 15)

Soma taarifa ifuatayo kisha ujibu maswali.
1.

a) i) Pesa au fidia wanayolipwa maharamia

ii) Ati ya kuendeleza ujambazi wa kimataifa

iii) Ukosefu wa utawala wa kuwajibika katika sehemu kunakotokea uharamia (3x1=al.3)

b) Uharamia unatokea barani Afrika umeelekezwa katika jamii ya kimataifa ambayo ni mhusika mkuu wa kuinusuru Afrika kutokana na njaa, magonjwa na umaskini (aa)

i) Pesa au fidia wanayolipwa maharamia

ii) Ati ya kuendeleza ujambazi wa kimataifa

iii) Ukosefu wa utawala wa kuwajibika katika sehemu kunakotokea uharamia (3x1=al.3)

b) Uharamia unatokea barani Afrika umeelekezwa katika jamii ya kimataifa ambayo ni mhusika mkuu wa kuinusuru Afrika kutokana na njaa, magonjwa na umaskini (al.2)

c) I) Matumizi ya diplomasia na mashauriano hayajafaulu katika kumaliza uharamia ulimwenguni

ii) Matumizi ya nguvu ( mashambulizi na mashtaka) yanaonekana kuendeleza uharamia

iii) Utawala / uongozi wa mataifa husika haujajizatiti kuuharamisha uharamia (3x1=AI.3)

d) I) Uharamia umedumaza biashara kutokana na upungufu na ucheweshaji wa bidhaa muhimu zinazohitajika nchini

ii) Shughuli za kitalii zinahujumiwa

iii) Kuchelewesha kwa uwekaji wa nyaya /laini za kuwezesha urahisi wa mawasiliano ulimwenguni

iv) Uvuvi pamoja na shughuli zingine zinazotendeka katika mwambao haziendelezwi ipaswavyo (4x1=AI 4)

e) I) Uhararamia – wizi, ujambazi wa kutumia nguvu baharini
ii) Mtandao- Mfumo wa mawasiliano uunganishayo ulimwengu
iii) Mwambao - Sehemu ya nchi iliyo karibu na bahari, pwani (3x1=AI. 3)
(JUMLA ALAMA 15)

15 marks

2. MUHTASARI (Alama 15)

Soma taarifa ifuatayo kisha ujibu maswali
2.

a) Aya mbili za kwanza.

i) Vijana wanapaswa waelewe umuhimu wa kurekebisha tabia

ii) Ni lazima wazazi wawaeleze watoto wao jinsi walivyorekebishwa

iii) Ingawa waliadhibiwa waliwashukuru wazazi wao

iv) Wengi wanaamini kufaulu kwao kulitokana na tabia walizofunzwa

v) Wanawashukuru kwa kuwatunza wanapokuwa wakongwe

vi) Wanawapa heshima maalumu jambo litakalokuwa nadra kwa wakongwe wajao

vii) Unapaswa kuomba msamaha unapokosa na kuahidi kutorudia tena

b) Mtoto umleavyo sivyo akuavyo.

i) Kuna watoto wanaoleleka lakini wakaharibika kighafula.

ii) Matokeo ya malezi huwa majaliwa.

iii) Watoto wengine huchukuliwa hatua nyingi lakini hazifui dafu.
iv) Huwaonyesha wazazi madharau na kuwaona kama mashua mbovu.

v) Kutumia mabavu katika kumrekebisha mtoto ni kumharibu zaidi

i) Ondoa nusu alama kwa kila kosa la hijai litokeapo mara ya kwanza hadi alama 3

ii) Ondoa nusu alama kwa kila kosa la sarufi litokeapo mara ya kwanza hadi alama 3

iii) Ondoa alama 1 kwa maneno kumi ya ziada kisha ½ alama kwa kila maneno matano yanayofuatia

15 marks

3. MATUMIZI YA LUGHA (Alama 40)

3.

a) Kufaulu- Hutumiwa mwanzoni mwa kitenzi nomino

Kutakuletea- Kiwakilishi cha nafsi ya pili umoja

Hukudanganya-Kiambishi cha wakati uliopita katika hali ya kukanusha (AL.3)

b) Sauti ghuna ambazo ni vipasuo.

i) |b| |d| |g|

ii) Si ghuna ambazo ni vikwamizo (AL. 4) |t| |th| |sh| |h|

c) I) Kielezi ni julai mwaka jana (AL.4)
ii) Wanafunzi wameingia darasani humo


d) Mwanafunzi stadi – kirai nomino Ndiye atakayetuzwa – kirai tenzi (AL 2)

e) Viambishi awali- m-li Viambishi tamati- ew-a (AL 2)

f) I) kivumishi cha kusisitiza – wawa hawa |wao hao
ii) Kivumisha cha a – unganifu – kiti cha mwalimu (AL.2)
g) Kuunda vitenzi – Hotuba- Hutubu (AL. 2)

Tiba- Tibu

h) Sahihisha; Niliyoyaona sitawahi kuyasahau (AL.3) I) i) Amekuja kuleta amani
ii) Amekuja kutufanya tulie (AL.2)
J) Viwakilishi ni;
A- Kiwakilishi cha nafsi ya tatu umoja
Li- Kiwakilishi cha wakati uliopita (AL 3)
Wa- kiwakilishi cha kitendewa.

k) Usemi halisi
“Tutapata tiba ya bure ikiwa bunge litapitisha msuada huu’’ Waziri alisema (AL12)
L) Vitenzi:
Ndiye – kitenzi kishirikishi kipungufu
Aliyekuwa- kitenzi kisaidizi (AL.3)
Akiiba – kitenzi kikuu
M) Uchanganuzi;

Mwanajeshi mzee ambaye aliyejeruhiwa alipelekwa hospitalini
N) Uakifishaji : (AL.3)
Wanyama hawa: kiboko, ndovu (tembo), ngiri na ngawa ; wanyama wa pori, wote hupatikana katika mbuga ya Masai Mara
O) Sentensi.
Kijinga cha moto kilipomchoma alirukaruka kijinga. (AL.2)
(JUMLA ALAMA 40)

i) Ondoa nusu alama kwa kila kosa la hijai litokeapo mara ya kwanza hadi makosa sita; alama tatu.
ii) Usiondoe zaidi ya nusu ya alama ulizotuza kwa makosa ya sarufi katika kila kisehemu.

40 marks

4. ISIMU JAMII (Alama 10)

4.

a) Mutilinguo ni mtu aliye na uwezo wa kuzungumza lugha zaidi ya mbili (AL.1)

b) Kuchanganya ndimi ni kule kutumia neno la lugha tofauti katika sentensi ya lugha nyingine kwa mfano Nitaenda town kesho kununua phone.

(AL.4)
Kubadili ndimi ni kule kutunga sentensi katika lugha moja halafu unafuatisha sentensi nyingine katika lugha tofauti kwa mfano:

Usinipigie kelele. Can’t you see that I need some peace? Maelezo al. 1 Mfano al.1


c)Sababu za kuchanganya na kuhamisha |kubadili ndimi


i) Kupungukiwa na msamiati
ii)Kujitambulisha na kundi fulani la watu .
iii) Kujihusisha na lugha yenye hadhi.
iv) Kukengeuka –kutaka kujionyesa kuwa hata wewe unajua.
v) Kutaka kuonyesa kuwa una uwezo wa kutumia lugha zaidi ya moja.
vi) Kutaka kuweka wazi jambo fulani. Zozote 5 (5x1=5)
(JUMLA ALAMA 10)

10 marks

Back Top