Search
Free School Management System
Free School Management System for Kenya

Free School Management System

Learn More

KCSE CLUSTER TESTS 20

Kiswahili Paper 2

1.UFAHAMU (Alama 15)

Soma kifungu kifuatacho halafu ujibu maswali yanayoifuatia.
1.

a)Sukari. (Maneno yasizidi 6, yakizidi tuza 0) (alama 1)

(b)

(i) Hutumiwa katika vinywaji k.v chai au uji.

(ii) Hutumika kupikia vyakula k.v keki,mahamri n.k.

Tuza 2x1=alama 2.

(c)

(i) Husababisha maradhi ya kisukari,moyo na hipoglisimia.

(ii) Huleta kipandauso,ugonjwa wa kuumwa na kichwa upande mmoja.

(iii) Husababisha ongezeko la kolestroli,ambayo ni kemikali hatari inapoongezeka mwilini.

(iv) Huleta maradhi ya ngozi na figo.

Zozote 3x1=alama 3.

(d) Aina –sukari asilia itokanayo na vyakula kama nafaka,matunda,mboga na miwa.

-Sukari itokanayo na asli. Sababu-Huwa na virutubishi.

(Kutaja aina yoyote moja=alama 1;sababu=alama 1;Jumla=1+1=alama 2)

(e)

(i) -Huchangamsha mwili.

-Huupa mwili nishati.

-Husaidia usagaji wa chakula.

-Husaidia mwili kujikinga na maradhi kama homa.

-Huupa mwili madini,vitamini na amino aside. -Huzidisha kiwango cha homoglobini na kupunguza uwezo wa watoto wadogo kupata anemia.

(ii)

-Hufanya ngozi kung’ara,huondoa vipele na ugumu wa ngozi.

-Hutibu kule ngozi imekatikakatika na vidonda vinavyotokana na kuchomeka. (zozote mbili kwa kila sehemu=4x1=alama 4)

(f)

(i) Watu maskini,wa tabaka la nchini.

(ii) Ngumu.

(iii) Bidhaa za kurembesha k.v poda,wanja,mafuta. (3x1=alama 3)

Mtindo wa kutahini a) Ondoa ½(nusu)alama kwa kila kosa la hijai(h)/tahajia litokeapo mara ya kwanza.

b) Usiadhibu kosa moja mara mbili katika hijai.

c) Makosa ya hijai/tahajia yaadhibiwe hata kama mtahiniwa amepata 0(sufuri)

katika kisehemu hicho.

d) Onyesha makosa yote ya hijai/tahajia lakini uhesabu makosa 6(sita) pekee,yaani

alama 3

e) Ondoa½ alama kwa kila kosa la kisarufi litokeapo mara ya kwanza.

f) Makosa ya sarufi yaondolewe hadi nusu ya jumla ya alama mtahiniwa alizotuzwa katika kisehemu hicho.

g) Onyesha makosa yote ya sarufi lakini uhesabu makosa 6 pekee,yaani alama 3.

15 marks

2.UFUPISHO (Alama 15)

Soma taarifa ifuatayo kisha ufupishe kwa mujibu wa maswali yanayofuatia.
2.

(a

-Wazee waliwajibika kupitisha hekima kwa vijana.

-Watu waliheshimiana.

-Ilikuwa ni nadra kwa zogo kutokea.

-Vijana walisifika kwa kuwa wenye bidii,wakarimu,watiifu n.k.

-Yeyote aliyeweza kutumiza sifa hizi aliweza kuoa/kuolewa hata kama alikuwa na kasoro za kimwili. Vijana walikubali kufunzwa mengi na jamii bila ubishi.

-Mambo yalipowawia magumu,waliomba msaada. (zozote 4x1=alama 4)

(b)

-Watu walipomaliza shughuli zao za mchana,walikutana jioni na kujumuika.

-Vijana wangeenda kucheza ngoma au kwa vikongwe kufunzwa mambo ya kuwakomaza kiakili.

-Walipomaliza shughuli hizo,hawakuenda kulala bila kuwaaga wazazi wao.

-Walipoamka asubuhi,waliwasalimu watu wazima na kujuliana hali kwa heshima.

-Kama palikuwa na tatizo,walishirikiana kuliondoa.

-Mtindo wa vijana kupiga malapa mitaani haikuwepo.

-Waovu walikuwa wachache.

-Hakuna kijana aliyetoka kwao na kulala nje ya idhini ya wazazi.

-Leo mambo yamebadilika.

-Haya yadhihirishwa na kile kisa cha mtu mzima kuadhiriwa mbele ya umati wa watu na kimwana.

-Mzee aliyeyashuhudia haya alibaki kutegemea msemo kuwa asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu.

-Alilaani utamaduni wa kigeni uliobadilisha ule wa asili uliokuwa unadumaza. (zozote 8x1=alama 8

Mtindo wa kutahini.

i) Ondoa ½ alama kwa kila kosa la hijai/tahajia(h) litokeapo mara ya kwanza.

ii) Usiondoe kosa moja mara mbili.

iii) Ondoa jumla ya makosa 6,yaani alama 3.

iv) Ondoa jumla ya makosa 6 yaani alama 3 kwa makosa ya sarufi.

v) Mtahiniwa akipata sufuri apewe bakshishi(BK)ya alama 1.

15 marks

3.MATUMIZI YA LUGHA (Alama 40)

3.

(a)

-U-Ø mfano ufito-fito,ufunguo-funguo,uteo-teo.

-U-mb-mfano ubao-mbao,ubawa-mbawa,ubinda-mbinda.

-U-nd mfano udevu-ndevu,ulimi-ndimi,uwele-ndwele.

-W-nd mfano wayo-nyayo,wakati-nyakati,waraka-nyaraka.

-U-ny mfano ua-nyuzi,unywele-nywele,uso-nyuso.

- u –nj – ujiti-njiti,ukuti-njuto (zozote 3x1=alama 3)

(b)

/r/-kimadende,ufizi,sauti ghuna. (zozote2x1=alama 2)

(c)

(i)mbwa –ha,ngwe-na,

shwa-ri,ja-ngwa,

fu-nzwa. (alama 1) M
(ii)muk-tadha,mak-taba,sen-ten-si. (alama 1)

(d)

A-nafasi ya tatu umoja.

Ngeli-hali ya masharti.

Ni-yambwa tendwa.

Fu-mzizi wa kitenzi. li-kauli ya kutendea. a-kiishio.
(½x6=alama 3)

(e) Tusipopata udhamini hatutafanya utafiti huo. (alama 2)

(f) Mwalimu mkulima(Kirai Nomino);ameenda nyumbani(Kirai Elezi). (alama 2).

(g)

(i)angali –t-kishirikishi kikamilifu;

(ii) ni-t-kishirikishi kipungufu. (1x2=alama 2)

(h) Kashifiwa-mfano:Mwizi alikashifiwa kwa kuwabughudhi wanakijiji. (alama 2)

(j) Raisi alisema,’’Sote tukiungaungana tutaangamiza adui wote wa maendeleo’’. (½x8=alama 4).

(j)

(i)Aliendesha gari hilo barabara.(namna/jinsi)

(ii)Barabara!Nitampasha habari.(kukubali). (2x2=alama 4)

(k) Yaliyaweka maguo hayo kwenye masanduko yao. (alama 2) (I)

(i)Katika usemi halisi-‘’Nitaenda sokoni.’’

(ii)Anwani za makala mf.Tulinunua riwaya ya ‘’Utengano’’ jana.

(iii)Lugha ya simo/misimu mf.’’Mbuyu’’ amerejea kutoka kazini. (iv)Neno la kigeni mf.’’Irio’’ ni chakula kitamu sana. (v)Kuonyesha neno lina maana tofauti na ile ya inayonuiwa kutolewa mf.

Yeye ni ‘’kakangu’’.(Maana ni si kaka,labda mpenzi.)

(Sentensi zidhihirishe matumizi yoyote tatu. 1x3=alama 3)

(m) Bidhaa-kipozi;mama-kitondo. (n) (i)goti-kiungo kati ya paja na muundi. (ii)koti-vazi linalovaliwa juu ya shati

(Lazima mwanafunzi atunge sentensi.Akieleza maana asituzwe.) (1x2=alama 2)

(p) Ala!Sikudhani Mwinyi angeweza kunitapeli hapa Nairobi. (alama 3)

Mtindo wa kutahini.

(h) Ondoa½ (nusu)alama kwa kila kosa la hijai(h)/tahajia litokeapo mara ya kwanza.

(i) Usiadhibu kosa moja mara mbili katika hijai.

(j) Makosa ya hijai/tahajia yaadhibiwe hata kama mtahiniwa amepata 0(sufuri)katika kisehemu hicho.

(k) Onyesha makosa yote ya hijai/tahajia lakini uhesabu makosa 6(sita) pekee,yaani alama 3.
(m) Makosa ya sarufi yaondolewe hadi nusu ya jumla ya alama mtahiniwa alizotuzwa katika kisehemu hicho.

(n) Onyesha makosa yote ya sarufi uhesabu makosa 6 pekee,yaani alama 3.

40 marks

4.ISIMUJAMII. (Alama 10)

4.

(a)

(i)Kuhifadhi siri na kutenga wasiolengwa.

(ii)Kukidhi mahitaji maalumu ya mawasiliano.

(iii)Kuongeza ladha na kufanya lugha ivutie.

(iv)Kutajirisha lugha kifasihi na kimsamiati.

(v)Kurahisisha/kuharakisha mawasiliano k.m ‘tatu ishirini tatu ishirini’.

(vi)Kitambulisho kinachotofautisha makundi ya watu kulingana na wanavyoitumia lugha.

(vii)Huondoa uchovu wa urasimu/matumizi ya sanifu bila kujali makosa.

(viii)Huwezesha wazungumzaji kujikita muktadha fulani bila kutapatapa. (zozote 4x1=alama 4).

(b)

(i)Hulenga kundi/watu fulani.

(ii)Hubeba porojo na ukinzani

(iii)Hudokeza ahadi na utendaji bora.

(iv)Hupumbaza na kunata.

(v)Lugha yenye mvuto na ushawishi. (zozote3; kutaja=alama 1, mfano=alama1:3x2=alama 6)

Mtindo wa kutahini.

(o) Ondoa½(nusu) alama kwa kila kosa la hijai(h)tahajia litokeapo mara ya kwanza.

(p) Usiadhibu kosa moja mara mbili katika hijai.

(q) Makosa ya hijai/tahajia yaadhibiwe hata kama mtahiniwa amepata 0(sufuri) katika kisehemu hicho.

(r) Onyesha makosa yote ya hijai/tahajia lakini uhesabu makosa 6(sita) pekee,yaani alama 3.

(s) Ondoa ½ alama kwa kila kosa la kisarufi litokeapo mara ya kwanza.

(t) Makosa ya sarufi yaondolewe hadi nusu ya jumla ya alama mtahiniwa alizotuzwa katika kisehemu hicho.

(u) Onyesha makosa yote ya sarufi lakini uhesabu makosa 6 pekee,yaani alama 3.

10 marks

Back Top