Search
Free School Management System
Free School Management System for Kenya

Free School Management System

Learn More

KCSE CLUSTER TESTS 20

Kiswahili Paper 1

1.

1.)

-Hii ni insha ya ripoti rasmi.

-Sura.

-Kichwa.

-Anayetaka ripoti.

-Muda.

-Kuhusu nini?

-Utangulizi.

Wanajopo –vyeo

-Uchunguzi. -Mbinu km.

-Hojaji. -Mahojiano.
-Matembezi.

-Kusoma makala /majarida.

-MATOKEO

-Maandalizi duni.

-Hofu.

-Ulaghai.

-Teknolojia ya kisasa-rununu.

-Walimu kutotoa mwelekeo kabambe.

Uzembe. -Sera za elimu kuhusu mtihani.

-MAPENDEKEZO.

-Hatua kali kisheria.

-Walimu kuwaandaa wanafunzi vilivyo.

-Ushauri na maelekezo.

-Wanafunzi wasiruhusiwe kutumia rununu shuleni.

-Mtazamo wa mchango wa elimu katika maisha kubadilishwa.

-Hitimisho.

TANBIHI

-Sura ya insha inaweza na vijichwa vidogo vidogo.

Sahihi ya katibu mwishoni mwa ripoti.

20 marks

2.

MATATIZO /CHANGAMOTO

  • Ukosefu wa madarasa ya kutosha.
  • Ukosefu wa walimu.
  • Kurundikana kwa wanafunzi.
  • Wanafunzi kuacha shule.
  • Uhaba wa vifaa k.m madawati.
  • Vitabu vilivyoandikwa kwa pupa.
  • Wanafunzi na walimu kukosa motisha.
  • Kurudiarudia kwa wanafunzi katika darasa moja.
  • Kuchelewesha kwa pesa za elimu ya bure.
  • Ukosefu wa maabara na maktaba.
  • Kutokamilisha kwa silabi.

FAIDA.

  • Nafasi zimepanuliwa.
  • Nafasi za kazi kuongezeka.
  • Taifa la wasomi wengi.

20 marks

3.

Insha ya methali.

Anaweza kutoa maelezo ya maana au la.

Abuni kisa kinachooana na methali.

Asipinge methali.

Ashughulikie pande mbili za methali

20 marks

4.

Ni swali la mdokezo.

Lazima atangulize kwa maneno aliyopewa.

Insha ni masimulizi. Atoe maelezo kuhusu tukio lililimwathiri vibaya.

Azingatie mambo kuhusu haki za binadamu na jinsi alivyonyimwa haki hizo na taasisi za

kisheria

20 marks

Back Top