Search
Free School Management System
Free School Management System for Kenya

Free School Management System

Learn More

KCSE CLUSTER TEST 14

Kiswahili Paper 2

1. UFAHAMU (Alama 15)

Soma kifungu kifuatacho kisha ujiba maswali.
1.

1. (a) (i) Vijana wa kale na wa leo.

(ii) Ukale na usasa.

(iii) Mabadiliko.(yoyote 1x1=1)

(b) (i) Jamii yote iliwajibika kitabia na yeyote angemwadhibu mkosefu

(ii) Vijana waliongoka kitabia.(Hoja 2x1=2)

(c) (i) Kuwarudi watoto wao.

(ii) Kuwarudi watoto wa jirani.(Hoja 2x1=2)

(d) (i) Vijana wa kale walikubali kuekelekezwa;bila kuuliza maswali au kukaidi.

(ii) Vijana wa kale waliwaheshimu wazee tofauti na wa sasa.(Hoja 2x1=2)

(e) (i) Mtoto hakuwa na adabu.

(ii) Yule bwana alinyamaza alipotusiwa bila ya kuchukuwa hatua yeyote.(Hoja 2x1=2)

(f) Kumuona mtoto akimtukana mtu mzima.

(i) Hadharani/kandamnasi ya watu.

(ii) Yule motto alimshikia kiuno/nyonga mtu wa makamo.(Hoja 2x1=2)

(g) (i) Duni/madharauliwa/ovyo/asiye na thamani.

(ii) Kuwaheshimu/kuwanyenyekea.

(iii) Kamatusi/kuwatukana.

(iv) Tembea ovyo/zurura.

15 marks

2. UFUPISHO (Alama 15)

Soma makala yafuatayo kasha ujibu maswali
2.

i. Ujambazi wa kimataifa ni tatizo lililowasumbua walimwengu kwa muda mrefu sana.

ii. Serikali nyingi zimetumia pesa nyingi kupambana na janga hili.

iii. Fanaka haijapatikana wala haielekei kupatikana.

iv. Tatizo kubwa ni jelezi la dhana ya ujambazi wa kimataifa.

v. Tatizo linguine ni kiburi cha mataifa makubwa makubwa waaminio ujambazi ni tatizo lisiloweza kuwafikia/kuwashtua.

vi. Waamini ujambazi ni wa watu washenzi/wasiostraabika/kutoka nchi zisizoendelea.

vii. Kwao ujambazi ufaao kukabiliwa ni dhidi ya dawa za kulevya usababishwa na vinyagarika kutoka ulimwengu wa tatu.

viii. Wale vinyangarika lazima wafagiliwe bila huruma ili ulimwengu ustaarabike/adui hawa ni sharti waangamizwe ili kudumisha ustaarabu/ulimwengu mstaarabu.(zozote 7(1x7=7) al 2 mtiririko.

(b) i. Wamarekani walishtuka na kumaka.

ii. Hakuna aliyeamini kuwa Marekani ingeweza kushambuliwa.

iii. Mshtuko ulitingisha ardhi yote na huzuni ilitanda kote.

iv. Marekani ililipiza kisasa kwa kushambulia Afganistani kwa mabomu hatari.

v. Idadi kubwa ya walimwengu ilishangilia/ilisherehekea.

vi. Tafsiri ya shambulizi la minara-picha ya New York na pentagon ilizorota/Tafsiri ya shambulizi hili ilizorota.

vii. Wengi walidhani ni mwanzo wa vita vya waislamu dhidi ya wakristo.

viii. Waislamu wote wakashukiwa kuwa majambazi wa kimataifa.(zozote 6(1x6=6)(al 1mtiririko)

15 marks

3. MATUMIZI YA LUGHA (Alama 40)

3.

a) (i) /ng’/ (al 1) (ii) /t/ (al 1)

b) Chali –lala kimgongomgongo,lala mgongo chini kifua juu.(al1)
Shali-aina ya vazi/kitambaa kinachotandwa na mashehe/waalimu wa dini ya kislamu mabegani.(al 1)

c) (i) -ote(mwanafunzi atunge sentensi kamili na sahihi)

(ii) Po!,Ebo!,Mawe!,Chaka!,Aka!(al1)

d) Mechi baina ya Harambe stars na Taifa stars itachezwa kesho/jumanne/mwaka ujao/alasiri n.k(al1)

e) Kirai kivumishi. f) ‘’Labeka!’’Njeri aliitika,’’Nikuhudumie vipi?’’(al 2)

g) Watundu wale waliitoa hewa mipira.(al1)

h) Kukimbia-‘ku’yaonyesha nomino ya kitenzi jina.

Kumekutajirisha –kipatanisha ngeli.

-Nafsi ya pili/yambwa.

Hakujaniletea-kikanushi cha wakati uliopita.(½x4=2)

j) Hakumfia, Hakumjia,Hakumchia n.k.(al 3)

k) Elimu imsaidiayo ni imleteayo riziki.(1x2=2)

l) (i) Joto jingi..................(iwe sentensi sahihi na kamilifu)

(ii) Meko mengi................(iwe sentensi sahihi na kamilifu)(1x2=2)

m) Tu-me- wajihi -an-a (1x2=2)al 2 Viambishi viambishi awali tamati

n) Wanafunzi watakuwa wamefanya mtihani wa kitaifa.(al2)

o) Mirathi –rithi.(al1) Kakamavu-kakamaa(al 1)

p) Vijisu vyetu tulivyovinunua juzi vilivikera vizee/vijizee vyetu na vidugu vyao.(al 2).

q) Ulikomolewa.(al 1)

r) Omari –yambwa tendewa. Mwanawe

–yambwa tendewa Kitabu-yambwa tendwa.(al 3)

s) Miundo katika ngeli ya U-zi. Wembe-nyembe(w-ny)

Uzi-nyuzi (u-ny)

Ubao-mbao (u-mb)

Ulimi-ndimi (u-nd) Ukuta-kuta (yoyote matatu al 3)

t) Kaa bila kufanya chochote.(al 1)

40 marks

4. ISIMUJAMII (Alama 10)

4.

a. (i) Uuililugha. Hali ya watu kuzijua/kuzitumia/kuziongea lugha mbili tofauti.(al 1)
(ii) Uuingilugha. Hali ya jamii/watu kuweza kuzitumia lugha zaidi ya mbili.(al 1)

b. (i) Ujirani na makabila tofauti,watu wa makabila tofauti wanapoishi katika maeneo sawa ya kijeografia.

(ii) Ndoa za mseto-watu wa makabila/asili lugha tofauti wanapooana na hatimaye watoto wanaozaliwa.

(iii) Sera za lugha za nchi; Maongozi ya lugha yaliyowekwa huwalazimu raia/umma kuziongea lugha zaidi ya moja.

(iv) Sera za ukoloni za lugha. Wakoloni waliwalazimisha waafrika kujifunza lugha zao.

(v) Maisha ya kimji. Mijini watu wanaishi kwa kukaribiana sana wakiwa ni watu wa makabila tofauti.

(vi) Shughuli za kiuchumi- a mali wanazojishughulisha watu huwalazimu kuongea kwa lugha zaidi ya moja.

(vii) Dini Dini mbalimbali zilisambazwa kwa kutumia lugha mbalimbali.Wafuasi wakalazimika kuziongea lugha hizo.

(viii) Elimu. Mitaala hulazimu wanafunzi kujifunza lugha zaidi ya moja.(hoja zozote nne(4x2=al =8)

10 marks

Back Top