Kiswahili Paper 2 Marking Scheme
2015 KCSE Murang'a South Mock
Kiswahili Paper 2
1.UFAHAMU (Alama 15)
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali yafuatayo.1. - Uandishi wa vitabu vya watoto.
- Vitabu vya watoto. (1 x 1 al 1)
2. Katika umri mdogo. al 1
3. (i) Kujifahamisha mengi kuhusu ukuaji wa watoto wadogo.
(ii) Kujifahamisha na yanayopendeza na kuchochea watoto katika kusoma. 2 x 2 al 4
4. Kwamba wanafunzi wa madarasa ya chini wanaweza kutumia mikakati sawa na wa madarasa ya juu.
1 x 2 al 2
5. (i) Kukariri
(ii) Kuiga / kuigiza
(iii) kufuatilia hadithi kwa picha.
6. (i) Sentensi fupi fupi
(ii) Sarufi na msamiati sahihi.
(iii)Kurudiwarudiwa
(iv) Nyimbo na mashairi mapesi yawepo.
(v) Kuwepo picha nyingi na vibonzo vya rangi. zozote 2 x 1 al 2
7. (a) Ombwe - pengo
(b) Kufidiwa - kujazwa / kutoshelezwa
15 marks
2.UFUPISHO (Alama 15)
(a) Hoja muhimu.
1. Watafiti wa afya wamegundua sukari ya viwandani haina virutubishi.
2. Utaratibu wa kuitayarisha iwe nyeupe huharibu virutubishi vinavyofaa mwili.
3. Sukari imesazwakwa kutiwa ladha tamu tu.
4. Sukari ina madhara. Inaposagika mwilini masalioya asidi yenye sumu.
5. Ikiwa nyingi hudhuru kwa kuozesha na kuharibu meno.
6. Huongeza maradhi ya kisukari.
7. Huleta ugonjwa wa kuumwa na kichwa ghafla,kutapika na kutoona ikitumiwa kiholela.
8. Huongeza kolestroli ambayo ikirundikana moyoni hufanya mishipa nyembamba.
Hoja 7 x 1 utiritiko 1 = al 8
(b) - Madhara ya sukari inaonyesha sukari ni sumu.
- Wataalamu wa lishe wanapendekeza ulaji wa chakula chenye sukari asilia, hasa inayotoka kwenye asali.
- Sukari ya asali ina virutubishi vingi vyenye manufaa mwilini.
- Hupatia mwili nishati na kuuchangamsha.
- Ina kemikali zinazosaidia mtoto kuwa na anaemia.
- Husaidia usagaji wa chakula ikitumiwa kabla ya kula.
- Huondoa harufu mbaya mdomoni.
- Inaweza kujipakwa hutunza ngozi na kuing’arisha.
- Huondoa vipele na ugumu wa ngozi.
- Hutibu vidonda.
- Viwanda vya vipodozi huitumia kama malighafi. Hoja 6 x 1 utiririko al 1 = al 7
15 marks
3. MATUMIZI YA LUGHA. (Alama 40)
Yeye ndiye anayejua kwetu. al 2
2 marks
wa - nafsi
tembe - mzizi
a - kiishio
vyo – kirejeshi 4 x ½ (al 2)
2 marks
Sentensi mbili sahili zenye kiunganishi, zina mawazo zaidi ya moja m.f; tathmini sentensi ya mwanafunzi iwe na kiunganishi.
2 marks
hari, haraka, halafu, ahsante n.k (1 x 1 al 1)
1 marks
Aliambiwa kwamba wizi ulikuwa umezidi. (2 x 1 al 2)
1 marks
Mlango - (i) Uwazi wa kuingilia katika nyumba.
(ii) Sehemu katika biblia. (2 x 1 al 2)
1 marks
Vitabu hivi ndivyo alivyonunua.
Vyama vyao ndivyo vilisajiliwa. (2 x 1 al 2)
2 marks
yuyu huyu
yuyo huyo
yule yule yoyote 1 x 1 al 1
1 marks
S - KN + KT
KN - N + U + N
N - Rinda
U - na
N - mamake
KT - T + N + S
T - walimchukua
N - mtoto
S - aliyekuwa ametoroshwa al 4
1 marks
Kiima - Sehemu katika sentensi inayochukua
mahali pa nomino / kundi nomino.
2 marks
Chumbani mnaliwa na dada. al 2
2 marks
Asomeapo ni darasani
Tunakoenda ni sokoni
Mlimokuwa mnashwa ni chumbani yoyote al 2
2 marks
Majaribio ya mashambulizi yalizimwa na askari. (al 2)
2 marks
(i) Tunapomwombea
Tunayemwombea
Tukimwombea
Ambaye tunaombea yoyote al 1
(ii) Shiba – shibe al 1
2 marks
Jopo - Ya makundi
Ukweli – dhahania al 2
2 marks
Akija tuende kwao.
Akija tutaenda kwao al 2
2 marks
Walikuwa wamemaliza wali. al 2
2 marks
Usije! al 1
2 marks
“Nakuomba / tafadhali usinipeleke kwa mwalimu mkuu. Nami nitakupa zawadi.†Alfa alisema
“Je, unakubali? akauliza.
2 marks
Cha namna mfanano.
2 marks
Gari lenye kutujia halikuwa na utingo.
2 marks
4.ISIMU JAMII (Alama 10)
1. Msamiati wa lugha za kibantu unakaribiana.
2. Baadhi ya vitenzi vya kibantu kinanyambulika.
3. Kiswahili kina irabu tano ambazo baadhi ni kama za lugha nyingi za kibantu.
4. Muundo wa maneno ya kibantu unakaribiana
m.f KKI, IKKI, KIKI
5. Mpangilio wa ngeli za nomino unajitokeza katika lugha nyingi za kibantu hoja 5 x 2 (al 10)
10 marks