Search
Free School Management System
Free School Management System for Kenya

Free School Management System

Learn More

2015 KCSE Meru South Form 4 Joint Examination

Kiswahili Paper 1

1.

Lazima
Siku za hivi karibuni imekuwa kawaida kwa wanafunzi wa shule ya upili ya Matumaini kusokotwa na tumbo baada ya kila mlo. Ukiwa katibu wa Baraza la Wanafunzi matokeo ya uchunguzi wenu.

20 marks

2.

Andika kisa kitakachodhihirisha maana ya methali:
Atanguliaye kisimani hunywa maji maenge

20 marks

3.

Matokeo mema ya mtihani wa katika shule yoyote ya humu nchini hutegemea juhudi za mwalimu mkuu pekee Jadili.

20 marks

4.

Tunga kisa kitakachomalizikia kwa maneno yafuatayo:
...mwishowe nilikuja kungamua kwamba jitihada za wenzangu ndizo zilizonisaidia kuvuka daraja hiyo.

20 marks

Back Top