Search
Free School Management System
Free School Management System for Kenya

Free School Management System

Learn More

2015 KCSE Kericho West Joint Examination

Kiswahili Paper 1

1.

Lazima
Kumekuwa na ongezeko la visa vya ubakaji nchini katika siku za hivi karibuni. Wewe umeteuliwa na waziri wa usalama wa jamii kuwa katibu wa jopo linalochunguza chanzo cha visa hivi na kupendekeza njia za kusitisha uovu huu. Andika ripoti yako.

20 marks

2.

“Ulevi wa pombe haramu umeleta madhara mengi katika jamii ya leo.” Thibitisha ukweli wa usemi huu huku ukipendekeza hatua zitakazochukuliwa na serikali na jamii kutatua tatizo hili.

20 marks

3.

Andika insha itakayodhihirisha ukweli wa methali hii.
Sikio la kufa halisikii dawa.

20 marks

4.

Tunga kisa kitakachoisha kwa maneno yafuatayo:
... Hapo ndipo nilipogutuka kutoka usingizini. Mwili wangu ulikuwa umeloa jasho, nao moyo ulinipapa. Ndipo nilipong’amua kuwa yote hayo yalikuwa ruiya tu.

20 marks

Back Top